Mnao Copy Nyuzi zangu na kupeleka Twitter na YouTube Mjue nami nipo huko basi toeni Credit Mnachanganya watu

Mnao Copy Nyuzi zangu na kupeleka Twitter na YouTube Mjue nami nipo huko basi toeni Credit Mnachanganya watu

Ungeangalia wapi pa kwanza Ku post, alafu nasikia katiwa mkwara na Bashite kafuta hahaha
Bashite huyu huyu anaechorongwa kama msonobari?? Dah! Mwaka huu bashite atateseka sana. Sijui nguvu ya kupiga biti anaitoa wapi
 
Kumbe ni mzee wa copy and paste, alafu mwisho anaandika ukitaka muendelezo nenda kwenye telegram channel yake huko ni kulipia 5k....
 
Kuna siku nmeonyeshwa Uzi Wangu wa Mchepuko unasambaa uko Twitter,

Jamaa kaukata kata vipande vipande,
Anaurusha kidg kidg, kila Mara anawaambia wasomaji wake kua itaendelea kesho yake.

Nilimpuuza
Ila Hebu ngoja niutafute uko Twitter, nkimpata ntauleta hapa nimuexpose uyo jamaa kiazi[emoji3525]
 
Mlete mkuu
 
Mkuu nilikusema nikajua nawe ni mwizi..samahani Ila Yule Buyobe ana lugha chafu pia Kama utacomment kinyume nae afu ni moja ya watu wanaona Maisha kayapatia kisa tu yupo Tanroads PUA PUA PUA PUA PUA
Huko twita kuna ma-celebrity wana followers wengi na likes za kutosha akiongea hata pumba anataka umuunge mkono ukienda kinyume ni either upewe block au akuporomoshee matusi....halafu wengi huwa wanatengeneza picha kuwa wameyapatia maisha kweli kweli🐒
 
Nimembana kanichapa block
Kama amekuchapa block ingia kwa jina lingine na endelea kumbana kwa klujifanya siyo. mwambie umeambiwa na una ushahidi. Akikupiga block tena, ingia kwa jina lingine!
 
Back
Top Bottom