Mnao graduate mwaka huu

muhala.jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
746
Reaction score
655
Dear graduate, muda si mrefu mpenzi wako atakuambia kuwa hauna future. So usipagawe wala usichachawe. Tafuta mabloo wakushauri.

Ujumbe murua kabisa huu na mwenye kuelewa na aelewe.
 
Dear graduate, muda si mrefu mpenzi wako atakuambia kuwa hauna future. So usipagawe wala usichachawe. Tafuta mabloo wakushauri.

View attachment 1272375
Ujumbe muruuuaaaa kabisa.

1.Siyo demu wake tu hata ndugu jamaa na marafiki watakuona kituko.

2. Mbaya zaidi utakuta uliowaacha kitaa ndiyo wameshikilia maisha mazuri.

Haya ndiyo yalisababisha nikawa najutia muda wa masomo!

Thanks Almighty God.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…