NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
NALIA NGWENA nimewadharau mno wachawi, walozi na waganga wajadi kutoka pande zote za Tanzania hii hakika natamka wazi wazi bila ya kificho kuwa hii nchi ina waganga njaa tu na matapeli.
Nilitegemea waganga wote na manabii lenu lingekuwa moja kuhakikisha Tanzania walau inapata kombe la Afirica ifute machozi lakini wapi.
Nachukua fursa hii adimu kuiomba wizara ya utamaduni Sanaa na michezo kufuta leseni za watu wanaojiita waganga maana hawana faida na mchango wowote katika taifa letu hili.
Manabii wote wanaopiga kelele kwenye matv na redio kwa kusema kuwa wanauwezo wa kufanya miujiza naomba wakamatwe nao hawana faida katika taifa hili.