Mnao jiita waganga na wachawi, mmeshindwaje kuwadumaza (kuwapiga ganzi) hao waarabu kwa mkapa mpaka wanaondoka na furaha

Na hili nalo mkalitazame
NALIA NGWENA nimewadharau mno wachawi, walozi na waganga wajadi kutoka pande zote za Tanzania hii hakika natamka wazi wazi bila ya kificho kuwa hii nchi Ina waganga njaa tu na matapeli.

Nilitegemea waganga wote na manabii lenu lingekuwa moja kuhakikisha Tanzania walau inapata kombe la Afirica ifute machozi lakini wapi.

Nachukua fursa hii adimu kuiomba wizara ya utamaduni Sanaa na michezo kufuta leseni za watu wanaojiita waganga maana hawana faida na mchango wowote katika taifa letu hili.

Manabii wote wanaopiga kelele kwenye matv na redio kwa kusema kuwa wanauwezo wa kufanya miujiza naomba wakamatwe nao hawana faida katika taifa hili.
 
Wewe hebu sikia
Kitendo alichofanya Ally kamwe Leo kamwe YANGA asingeshinda kamweeee.

Unaijua kamati ya SIMBA?
anyway kua kua kwanza.
 
wao watachezesha majini, waarabu mnawajua vizuriiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na ukute yalicheza makina makata,manake sio kwa pasi zile ndani ya 18,mwapunyeto alibaki anashangaa haelewi kitu,ni kama alikuwa anagonga nyeto tu uwanjani.
 
Yaani goli la pili limeniuma sana.
 
NALIA NGWENA nimewadharau mno wachawi, walozi na waganga wajadi kutoka pande zote za Tanzania hii hakika natamka wazi wazi bila ya kificho kuwa hii nchi ina waganga njaa tu na matapeli.

Nilitegemea waganga wote na manabii lenu lingekuwa moja kuhakikisha Tanzania walau inapata kombe la Afirica ifute machozi lakini wapi.

Nachukua fursa hii adimu kuiomba wizara ya utamaduni Sanaa na michezo kufuta leseni za watu wanaojiita waganga maana hawana faida na mchango wowote katika taifa letu hili.

Manabii wote wanaopiga kelele kwenye matv na redio kwa kusema kuwa wanauwezo wa kufanya miujiza naomba wakamatwe nao hawana faida katika taifa hili.
🤔🤔🤔🤔
 
Na ukute yalicheza makina makata,manake sio kwa pasi zile ndani ya 18,mwapunyeto alibaki anashangaa haelewi kitu,ni kama alikuwa anagonga nyeto tu uwanjani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bao la 2, sio kwa pass zile ndani ya box daaaaah. Watu wanacheza mpira bhanaaa
 
Back
Top Bottom