NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kavurugwa huyu Leo ujueeHatari
Mzee Mpili anakula hela bure tu hana ishuNALIA NGWENA nimewadharau mno wachawi, walozi na waganga wajadi kutoka pande zote za Tanzania hii hakika natamka wazi wazi bila ya kificho kuwa hii nchi Ina waganga njaa tu na matapeli.
Nilitegemea waganga wote na manabii lenu lingekuwa moja kuhakikisha Tanzania walau inapata kombe la Afirica ifute machozi lakini wapi.
Nachukua fursa hii adimu kuiomba wizara ya utamaduni Sanaa na michezo kufuta leseni za watu wanaojiita waganga maana hawana faida na mchango wowote katika taifa letu hili.
Manabii wote wanaopiga kelele kwenye matv na redio kwa kusema kuwa wanauwezo wa kufanya miujiza naomba wakamatwe nao hawana faida katika taifa hili.
Tulia wewe [emoji41]Dharau zako hazitupunguzii chochote... Watoto mmejaa zereuuu
Kawaida sana [emoji41]Punguza jazba mkuu [emoji23][emoji23]
Huyo nae akamatwe Hana utabili uchungaji wowote.Tatizo mlimtukana mchungaji mashimo
Kwani si kuna dakika 90 zingine? Tuwape nafasi wagangaNALIA NGWENA nimewadharau mno wachawi, walozi na waganga wajadi kutoka pande zote za Tanzania hii hakika natamka wazi wazi bila ya kificho kuwa hii nchi Ina waganga njaa tu na matapeli.
Nilitegemea waganga wote na manabii lenu lingekuwa moja kuhakikisha Tanzania walau inapata kombe la Afirica ifute machozi lakini wapi.
Nachukua fursa hii adimu kuiomba wizara ya utamaduni Sanaa na michezo kufuta leseni za watu wanaojiita waganga maana hawana faida na mchango wowote katika taifa letu hili.
Manabii wote wanaopiga kelele kwenye matv na redio kwa kusema kuwa wanauwezo wa kufanya miujiza naomba wakamatwe nao hawana faida katika taifa hili.
Bado mnajipa moyo ya kupindua meza kule? Yaani bado mnawaona wale ni Gallants eti?Kwani si kuna dakika 90 zingine? Tuwape nafasi waganga
Hawawezi kutuma makombola huko nchi za watu.Kwani si kuna dakika 90 zingine? Tuwape nafasi waganga
Ongea wewe mkuu.Bado mnajipa moyo ya kupindua meza kule? Yaani bado mnawaona wale ni Gallants eti?
Tukienda kule tunachezesha waganga tupu, wachezaji wanakaa benchiBado mnajipa moyo ya kupindua meza kule? Yaani bado mnawaona wale ni Gallants eti?
Na bado trh 4 atavurugwa zaidiKavurugwa huyu Leo ujuee
Tulia wewe.Na bado trh 4 atavurugwa zaidi
Au siyo [emoji3525]Mzee Mpili anakula hela bure tu hana ishuView attachment 2638472