GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
NALIA NGWENA nimewadharau mno wachawi, walozi na waganga wajadi kutoka pande zote za Tanzania hii hakika natamka wazi wazi bila ya kificho kuwa hii nchi Ina waganga njaa tu na matapeli.
Nilitegemea waganga wote na manabii lenu lingekuwa moja kuhakikisha Tanzania walau inapata kombe la Afirica ifute machozi lakini wapi.
Nachukua fursa hii adimu kuiomba wizara ya utamaduni Sanaa na michezo kufuta leseni za watu wanaojiita waganga maana hawana faida na mchango wowote katika taifa letu hili.
Manabii wote wanaopiga kelele kwenye matv na redio kwa kusema kuwa wanauwezo wa kufanya miujiza naomba wakamatwe nao hawana faida katika taifa hili.
Kwa makolo pale South Africa walikua wanajidanganya tu[emoji41]Hakuna Waganga Kwenye Mpira Wakati Wote
Wewe hebu sikiaNALIA NGWENA nimewadharau mno wachawi, walozi na waganga wajadi kutoka pande zote za Tanzania hii hakika natamka wazi wazi bila ya kificho kuwa hii nchi Ina waganga njaa tu na matapeli.
Nilitegemea waganga wote na manabii lenu lingekuwa moja kuhakikisha Tanzania walau inapata kombe la Afirica ifute machozi lakini wapi.
Nachukua fursa hii adimu kuiomba wizara ya utamaduni Sanaa na michezo kufuta leseni za watu wanaojiita waganga maana hawana faida na mchango wowote katika taifa letu hili.
Manabii wote wanaopiga kelele kwenye matv na redio kwa kusema kuwa wanauwezo wa kufanya miujiza naomba wakamatwe nao hawana faida katika taifa hili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawawezi kutuma makombola huko nchi za watu.
wao watachezesha majini, waarabu mnawajua vizuriiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukienda kule tunachezesha waganga tupu, wachezaji wanakaa benchi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fehsal ametuhujumu kwanini achangishe hela siku chache kabla ya jambo la kitaifa
Na ukute yalicheza makina makata,manake sio kwa pasi zile ndani ya 18,mwapunyeto alibaki anashangaa haelewi kitu,ni kama alikuwa anagonga nyeto tu uwanjani.wao watachezesha majini, waarabu mnawajua vizuriiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona MwenyeweKwa makolo pale South Africa walikua wanajidanganya tu[emoji41]
Waganga wa hii nchi ni wapumbavu tu.Wewe hebu sikia
Kitendo alichofanya Ally kamwe Leo kamwe YANGA asingeshinda kamweeee.
Unaijua kamati ya SIMBA?
anyway kua kua kwanza.
Acha tu mzee wangu nimechafukwa sana[emoji41]Mamaaaeeee leo utapost hata mara 30..inauma hiyoooo
Yaani goli la pili limeniuma sana.Na ukute yalicheza makina makata,manake sio kwa pasi zile ndani ya 18,mwapunyeto alibaki anashangaa haelewi kitu,ni kama alikuwa anagonga nyeto tu uwanjani.
Mzee julikite kwenye maada huskaKwani waarabu wamekuja kucheza na waganga au kucheza na Yanga?
🤔🤔🤔🤔NALIA NGWENA nimewadharau mno wachawi, walozi na waganga wajadi kutoka pande zote za Tanzania hii hakika natamka wazi wazi bila ya kificho kuwa hii nchi ina waganga njaa tu na matapeli.
Nilitegemea waganga wote na manabii lenu lingekuwa moja kuhakikisha Tanzania walau inapata kombe la Afirica ifute machozi lakini wapi.
Nachukua fursa hii adimu kuiomba wizara ya utamaduni Sanaa na michezo kufuta leseni za watu wanaojiita waganga maana hawana faida na mchango wowote katika taifa letu hili.
Manabii wote wanaopiga kelele kwenye matv na redio kwa kusema kuwa wanauwezo wa kufanya miujiza naomba wakamatwe nao hawana faida katika taifa hili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bao la 2, sio kwa pass zile ndani ya box daaaaah. Watu wanacheza mpira bhanaaaNa ukute yalicheza makina makata,manake sio kwa pasi zile ndani ya 18,mwapunyeto alibaki anashangaa haelewi kitu,ni kama alikuwa anagonga nyeto tu uwanjani.