OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Mchambuzi wa mpira wa majiniIli upate goli 5 au zaidi ya Tano kwanza uwenayo iyo timu, Huwezi kua na timu middle zako zote zinatembea uwanjani alafu unataka goli 5.
Kiungo mshambuliaji na mzuiaji Distance covered per them iwe 6km per metch wakati wenzako middle zao na wing's zinakimbia 10/12 km per metch tena na maufundi mengi.
Bado zipo timu round hii ya pili zita tandikwa goli 5 au zaidi.
Kama rahisi fuga na weweKwa msaada wa majini inawezekana...
Mkuu leo sina cha kuandika...nimecheka sana hili jibu ni la hasira sanaKama rahisi fuga na wewe
Jamaa linamwaga ufundi mbumbumbu una mwaga uvundo.
12 kms ligi ya bongo?Ili upate goli 5 au zaidi ya Tano kwanza uwenayo iyo timu, Huwezi kua na timu middle zako zote zinatembea uwanjani alafu unataka goli 5.
Kiungo mshambuliaji na mzuiaji Distance covered per them iwe 6km per metch wakati wenzako middle zao na wing's zinakimbia 10/12 km per metch tena na maufundi mengi.
Bado zipo timu round hii ya pili zita tandikwa goli 5 au zaidi.
Hapo hujaongeza na maufundi ya Majini.Ili upate goli 5 au zaidi ya Tano kwanza uwenayo iyo timu, Huwezi kua na timu middle zako zote zinatembea uwanjani alafu unataka goli 5.
Kiungo mshambuliaji na mzuiaji Distance covered per them iwe 6km per metch wakati wenzako middle zao na wing's zinakimbia 10/12 km per metch tena na maufundi mengi.
Bado zipo timu round hii ya pili zita tandikwa goli 5 au zaidi.
Kama ndo ivo mbona yanga wanajigia tu hamsa kwa mnyama?Ukiangalia mwanzoni mwa msimu na sasa utaona jinsi gani timu ndogo ndogo zimeachana na mpira wa kinyonge yaani sasa hivi ukizubaa unaangusha point na kila mechi ni kama vile fainali.
Mnaotaka mshinde goli nyingi nyingi hasa hasa simba muwe na adabu sasa hivi ni piga nikupige ukizubaa unakaa chini na hizo timu ndogo ndogo zinapambana zishuke daraja
jini Maimuna ...Ili upate goli 5 au zaidi ya Tano kwanza uwenayo iyo timu, Huwezi kua na timu middle zako zote zinatembea uwanjani alafu unataka goli 5.
Kiungo mshambuliaji na mzuiaji Distance covered per them iwe 6km per metch wakati wenzako middle zao na wing's zinakimbia 10/12 km per metch tena na maufundi mengi.
Bado zipo timu round hii ya pili zita tandikwa goli 5 au zaidi.
haya sasa unakionaje kichapoBasi kama hii ligi ni bora basi naacha kufatilia mipira