Mnao taka ushindi wa goli 5 mnadhani NBC ni ndondo cup? mnyonge mnyongeni ligi inakua tena kwa kasi

Mnao taka ushindi wa goli 5 mnadhani NBC ni ndondo cup? mnyonge mnyongeni ligi inakua tena kwa kasi

Attachments

  • IMG_8506.jpeg
    IMG_8506.jpeg
    61.8 KB · Views: 4
Basi kama hii ligi ni bora basi naacha kufatilia mipira
Unaionaje ligi .mkuu?
downloadfile.jpg

Mpaka sasa haijulikani nani anashuka daraja mtibwa akikomaa akashinda mechi tatu tu anapanda kwa kasi ya kimbunga pia wa pili kutoka mwisho bsdo hajulikani timnyingi zimefungana point pia nsfasi ya nne ina ushindani mkali sana
 
Ili upate goli 5 au zaidi ya Tano kwanza uwenayo iyo timu, Huwezi kua na timu middle zako zote zinatembea uwanjani alafu unataka goli 5.

Kiungo mshambuliaji na mzuiaji Distance covered per them iwe 6km per metch wakati wenzako middle zao na wing's zinakimbia 10/12 km per metch tena na maufundi mengi.

Bado zipo timu round hii ya pili zita tandikwa goli 5 au zaidi.

Mkuu bado unashikilia msimamo wako?,

Yanga ilipigwa na Azam, ikadraw .na JKT ambayo mwanzo wa msimu ilipigwa tano, coastal alimanusirq itoe sare na yanga, azam akatoa draw na mashujaa, simba kstoa draw na namungo unadhani hizi timu zingine ni dhaifu kihivyo?
 
Unaionaje ligi .mkuu?View attachment 2977911
Mpaka sasa haijulikani nani anashuka daraja mtibwa akikomaa akashinda mechi tatu tu anapanda kwa kasi ya kimbunga pia wa pili kutoka mwisho bsdo hajulikani timnyingi zimefungana point pia nsfasi ya nne ina ushindani mkali sana
Hakuna kitu bado sana ni sawa na darasa la wajinga halikosi mwenye hafadhali
 
Back
Top Bottom