Mnao taka ushindi wa goli 5 mnadhani NBC ni ndondo cup? mnyonge mnyongeni ligi inakua tena kwa kasi

Basi kama hii ligi ni bora basi naacha kufatilia mipira
Unaionaje ligi .mkuu?
Mpaka sasa haijulikani nani anashuka daraja mtibwa akikomaa akashinda mechi tatu tu anapanda kwa kasi ya kimbunga pia wa pili kutoka mwisho bsdo hajulikani timnyingi zimefungana point pia nsfasi ya nne ina ushindani mkali sana
 

Mkuu bado unashikilia msimamo wako?,

Yanga ilipigwa na Azam, ikadraw .na JKT ambayo mwanzo wa msimu ilipigwa tano, coastal alimanusirq itoe sare na yanga, azam akatoa draw na mashujaa, simba kstoa draw na namungo unadhani hizi timu zingine ni dhaifu kihivyo?
 
Hakuna kitu bado sana ni sawa na darasa la wajinga halikosi mwenye hafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…