Mnao toa taarifa za HESLB kuweni makini

Mnao toa taarifa za HESLB kuweni makini

kamwache

Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
48
Reaction score
8
nasema hivyo kwa sababu kuna mijitu ingine bana cjui inakurupuka. toeni taarifa sahihi kwa wakati sahihi. kuna watu wana presha zao huku. so fresh mnavyofanya
 
nasema hivyo kwa sababu kuna mijitu ingine bana cjui inakurupuka. toeni taarifa sahihi kwa wakati sahihi. kuna watu wana presha zao huku. so fresh mnavyofanya

Tena bora uwaambie maana mijitu mingine haina hata haya hawajui wenzao tunapumulia mipira.
 
Back
Top Bottom