Mnao tuma maombi ya mkopo hili tatizo linasababishwa na nini?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Nipo nafanya maombi yangu ya mkopo wa elimu ya juu.
Nimefika sehemu ya mdhamini, napata hiyo shida kwenye picha. Je sababu ni nini.

 
resize hi picture to their recommended size itakubali
 
resize hi picture to their recommended size itakubali
 
Passport ya mdhamini wako nikubwa kuliko size inayohitajika hivyo ipunguze Kisha jaribu Tena[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…