Mnaoacha gambe msitutangazie, mtakuja kuumbuka!

Nina mwaka na miezi minne sijanywa ehee Mungu nisaidie nisirudie tena kunywa pombe yale hayakua maisha
 
Mkuu we'e achatu!

Saazingine watu hawaachi pombe kwa hiari.

Kuacha uraibu wa pombe ni vigumu sana, kama ilivyo vigumu kuacha kunyonya ziwa la mama kwa hiari hadi ulazimishwe kuacha.

Fikiria mtu ukajikojolee ukweni, mahali panapostahili kujenga heshima, umeenda kuibomoa, utaendelea kunywa pombe kweli!

Pia kuna umri wa kutafakari mara mbili mbili kuacha pombe, lakini ukianza kuitwa 'babu' hata kwa kutaniwa, jiandae kustaafu pombe kwa lazima.
 
Pombe za laana ndio mbaya zaidi mkuu ... Haziachiki na zitakudhalilisha mpaka kaburini
 
Kumbe hata ndege😂

Completely irresponsible waxwing birds 🐦 tend to eat fermented fruit and then lie drunk on the sidewalks.
Wise passers-by collect them and put them in a safe place until they sober up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…