jembelamkono JF-Expert Member Joined Nov 19, 2015 Posts 2,733 Reaction score 2,012 Mar 31, 2019 #1 Nimeona kiatu kizuri online,bei nimeridhia,wasiwasi wangu.ni juu ya kodi za hapa nyumbani,kiatu kinauzwa dollar 60.Wazoefu mnijuze tafadhali,kwa bei hiyo nawezakutozwa kodi zipi na kwa kiasi gani? Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona kiatu kizuri online,bei nimeridhia,wasiwasi wangu.ni juu ya kodi za hapa nyumbani,kiatu kinauzwa dollar 60.Wazoefu mnijuze tafadhali,kwa bei hiyo nawezakutozwa kodi zipi na kwa kiasi gani? Sent using Jamii Forums mobile app