jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,012
Nimeona kiatu kizuri online,bei nimeridhia,wasiwasi wangu.ni juu ya kodi za hapa nyumbani,kiatu kinauzwa dollar 60.Wazoefu mnijuze tafadhali,kwa bei hiyo nawezakutozwa kodi zipi na kwa kiasi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app