PreGE2025 Mnaoandaa Ilani za Uchaguzi za Vyama Vyenu Zingatieni Malengo ya Dira ya Taifa ya 2026-2050

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Taifa ambalo halina uchaguzi huru linapataje dira ya Taifa?
Yaani Kiongozi aliyedanganya uchaguzi unategemea ataandaa dira gani ya kulikomboa taifa kama si kujaza tumbo lake na watu wake?

Uchaguzi feki, huzaa dira feki, bunge feki, mahakama feki - yaani kila kitu ni feki feki feki.

Tuanze na namna tunavyowapata hawa viongozi wetu kwanza - No Reforms.....
 
Hakuna mtu anahitaji vibaraka,Dira ipo ni jukumu la Vyama kuandaa sera na ilani zao kufuata miongozo ya Dira ya Maendeleo ya Nchi.
 
Hakuna mtu anahitaji vibaraka,Dira ipo ni jukumu la Vyama kuandaa sera na ilani zao kufuata miongozo ya Dira ya Maendeleo ya Nchi.
Mfumo wote umeoza, ukitaka kutibu tatizo hili anzia chini kwenye mizizi kupata viongozi bora wanaotokana na wanachi, badilisha katiba ya nchi na sheria ili mamlaka yarudi kwa wananchi wenyewe kwa vitendo..
 
Hata viongozi wa Sasa wanatokana na Wananchi na ni Bora.

Ukiacha kila kitu Wananchi wakuamulie unaweza pata vibaraka kama kina Lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…