Mnaoangalia mpira mnapata ladha gani?

Mnaoangalia mpira mnapata ladha gani?

IMG_7065.jpg



Moment inatokea ndani ya sekunde lakini itaishi ndani ya mashabiki for the rest of their life. That’s football.
 
Lile vibe nililopata wakati meza inapinduliwa pale anfield barca anapigwa goli 4 messi akiwa ndani halisimuliki.
ile furaha ilidumu wiki japo mechi sikuangalia.

lakini kile kichapo cha madrid 2018 kiliuma sana,sita kuja kumsahau karius.
 
Mkuu wewe ni KE au ME?... Sisi wanaume kuna michezo by nature tunaipenda
1.Soccer
2.Ngumi
3.American football
4.Weight lifting
5.Basketball
Hii michezo tunaipenda, kwasababu ina portray our masculinity na inajenga mentality zetu za ku struggle tunapojaribu kuwin our daily bread, yan unajegwa na maswali ya kama mwanaume mwenzangu kaweza kwanini me nishindwe. Unaweza ukasema uko busy kutafuta pesa and all that ila hata mabos wapo viwanjani wanaangalia hizi game, chin nimekuwekea picha ya bwana Elon alivyokuwa anaenda kuangalia Super Bowl final juz juz tu hapa..
 

Attachments

  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    10.3 KB · Views: 1
Unakosa uhondo mkubwa sana.

Vibe lipo pale hasimu wako anabugiza goli tatu kwa yai kisha kesho yake unapiga mtu tatu kwa muwa
Hii raha yan ni kama nimeshinda lottery 😂😂😂😂... Jana nlienda sehemu nikakosa absolut vodka nikawa nipiga konyag mdogo mdogo yan niliona ile kitu ni tamu kama Jägermeister aisee hatari sana yan nimetoka job nna smile tu yan daah ahahahaha
 
Wewe Sasa ndiyo mwanamke halisi achana na wale wanawake hadi kubeti wanabeti na wanatembea na mikeka anakutajia kikosi kizima cha Southampton au Arsenal
Unakuta anazijua mpaka team za ligi ya Japan na South Korea.

😀😀
 
Jamanii hivi mnaoangalia boli(mpira) mnapata ladha gani kila nikijtahidi naona sielewii yani?
Mimi mwenyewe sijawai kuangalia mpira maishani mwangu wala kwenda uwanjani japo niliwai kuwa shabiki wa simba udogoni nimechagua burudani yangu kidogo kwenye mpira iwe kubet mimi ninabeti kama burudani tu maana ndani ya kubeti kuna tumaini la kisaikolojia
 
Back
Top Bottom