Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Still nipo kko soon naenda homeMwenge natoka makumbusho
Come makumbusho naludi nowStill nipo kko soon naenda home
Nimefurah KUONA comment yako hapa...Mimi napataga ladha ya lemonade 😋
Huu mwaka na hii fainal ilinifanya niwe mwehu aise,siwezi elezea furaha ya hii siku,Na ile ya Allienz allenaView attachment 2524146
Moment inatokea ndani ya sekunde lakini itaishi ndani ya mashabiki for the rest of their life. That’s football.
na hili ndio goli lenu la mwisho hamjawahi kutufunga tana mpaka leo ...View attachment 2524146
Moment inatokea ndani ya sekunde lakini itaishi ndani ya mashabiki for the rest of their life. That’s football.
na hili ndio goli lenu la mwisho hamjawahi kutufunga tana mpaka leo ...
na hili ndio goli lenu la mwisho hamjawahi kutufunga tana mpaka leo ...
Tupo wengiJamanii hivi mnaoangalia boli(mpira) mnapata ladha gani kila nikijtahidi naona sielewii yani?
Hii raha yan ni kama nimeshinda lottery 😂😂😂😂... Jana nlienda sehemu nikakosa absolut vodka nikawa nipiga konyag mdogo mdogo yan niliona ile kitu ni tamu kama Jägermeister aisee hatari sana yan nimetoka job nna smile tu yan daah ahahahahaUnakosa uhondo mkubwa sana.
Vibe lipo pale hasimu wako anabugiza goli tatu kwa yai kisha kesho yake unapiga mtu tatu kwa muwa
Unakuta anazijua mpaka team za ligi ya Japan na South Korea.Wewe Sasa ndiyo mwanamke halisi achana na wale wanawake hadi kubeti wanabeti na wanatembea na mikeka anakutajia kikosi kizima cha Southampton au Arsenal
Mimi mwenyewe sijawai kuangalia mpira maishani mwangu wala kwenda uwanjani japo niliwai kuwa shabiki wa simba udogoni nimechagua burudani yangu kidogo kwenye mpira iwe kubet mimi ninabeti kama burudani tu maana ndani ya kubeti kuna tumaini la kisaikolojiaJamanii hivi mnaoangalia boli(mpira) mnapata ladha gani kila nikijtahidi naona sielewii yani?