Ka nchi kama RWANDA ni kadogo... Af Wana tabia za kuchagua mabinti wanapiga picha eti ndo Sample population WAREMBO...aahahahhaha..hamna kituHajatembea huyo bro hii Tanzania akaielewa vizuri.
TZ kuna pis kali aisee,pia Singida kuna kabila wanaitwa wanyisanzu niliwaona wale nao aisee tema mate chini.
Sema watu wa kule bana mazingira yao magumu sana wana hali ngumu ya maisha.Yani unaikuta pis kali imepaukaa haina poda ila ina futa linameremeta la kushenyenta.