Mnaobabaika na wanawake wa Kitutsi kuna kitu hamkijui, wale sio wife material

Status
Not open for further replies.
Kwahiyo mkuu ulikua unamtumia kama kitega uchumi hata ukiwa anapelekewa moto huko hukujali ilimradi analete pesa, nawewe badaye unafanya humo humo loh inahitaji moyo mimi sina huo moyo ntakufa masikini.
 
mkuu mapenzi yalishakufa kitambo, sahivi bila pesa unapimiwa tu, madem wanaangalia pochi tunapendwa kwa kile tulichonacho.
KUFANYA MAPENZI, HILI NENO HALISIMAMII TU KWA WANAOPENDANA, NI KILE KITENDO HATA UKIENDA UKAFANYA NA WALE WANAOJIUZA, UTAKUWA UMEFANYA MAPENZI.
NENO HILI HUTUMIKA KAMA TAFSDA KUPUNGUZA UKALI WA MANENO, MAANA KWA WANA NDOA HUITWA TENDO LA NDOA.
 
Tuachieni dada zetu acheni wivu
Mkuu wanyarwanda ni wa wote wengu huuza uchi wao bila hiana ukienda uganda wanyarwanda wanao safari kila ijuuma kuenda kujiuza ni wengi, huwezi kua wivu na mnyarwanda labda uwe mshamba wa mapenxi kosa ni kumuoa na kumweka masikani.
 
Kwani Tanzania wachumba wameisha?
 
Rwanda wazuri ni watusi ila wahutu ni wabovu kinyama
 
Rwanda wazuri ni watusi ila wahutu ni wabovu kinyama
Wahutu ni weusi halafu wanavutia sana na macho yao yamekaa kimtego sana ila shida ni wafupi tu lakini watusi ni warefu na wana karangi kwa mbali
 
Wahutu ni weusi halafu wanavutia sana na macho yao yamekaa kimtego sana ila shida ni wafupi tu lakini watusi ni warefu na wana karangi kwa mbali
Wanyarwanda ni weusi hamna cha mhutu au mtusi, labda uongelee suala la urefu ila pia kuna watsi wengi ambao ni wafupi kabisa mpaka ukae Rwanda ndo jue kumbe kuna over rating ya watusi kwenye uzuri.
 
Tena pale Karagwe wanyarwanda ni kama nyumbani makwao, asubuhi anashinda Rwanda jioni anarudi Tanzania wengi wameumizwa sanaa mnyarwand hawana urafiki wa mtu asio mnyarwanda hata akiwa kazini au jeshini kukumaliza kwao sio issue.
Vipi wanawake wahangaza wana sifa gani?
 
wanandoa ndio wazinzi wakubwa kuliko wote duniani, ili uwe mzinzi lazima uwe kwenye ndoa ndio maana halisi ya uzinzi.
Wazinzi ni wale wasiokuwa kwenye ndoa.

Wenye ndoa wanafanya uasherati. Jua kutofautisha kijana, japo maneno yote mawili yanamaanisha kufanya ngono na mtu asiyekuwa mkeo ama mumeo
 
Mwanaharamu. Wazungu huita son of bitch[emoji16]
Mwanaharamu hana haki katika maisha yake kwa baba anakua mtoto wa mama hata urithi hapewi hata sharia haimutambui sasa kwa nini utese kiumbe kisio kua na hatia kwa raha zako?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…