Mnaobeza maamuzi ya TFF nikumbusheni ni lini CAF, CAS au FIFA zilitengua maamuzi/hukumu za TFF?

Achana na ilo boya la ukoloni utapoteza muda wako bure, lenyewe linajua maamuzi yakiwa upande wao ndio tff imenyooka lakini maamuzi yanapokuwa tofauti na matarajio yao ndio unaona linatoa kichwa kama nyoka aliyemwagiwa mafuta kwenye shimo,
 
HAKUNA MAJIBU KUMBE,
Feisal Mpaka msimu ujao aishe nyamafu.

Ndo ajue Yanga kubwa Saaaana kuliko Wazenji wote
 
Na aliwahi kuwa Mwenyekiti wa klabu yao na ndie muasisi wa kuwaita wanachama wa klabu ile ma "MBUMBUMBU".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hao mbumbumbu ndo walimshauri fei avunje mkatabaaa? Nyie mbwaa koko mmevurugwaa vibayaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hao mbumbumbu ndo walimshauri fei avunje mkatabaaa? Nyie mbwaa koko mmevurugwaa vibayaaa.
MBUMBUMBU ndio wanaozidi kumpoteza bila ya yeye mwenyewe kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…