Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Achana na ilo boya la ukoloni utapoteza muda wako bure, lenyewe linajua maamuzi yakiwa upande wao ndio tff imenyooka lakini maamuzi yanapokuwa tofauti na matarajio yao ndio unaona linatoa kichwa kama nyoka aliyemwagiwa mafuta kwenye shimo,
Jamaa una akili za kisenqe Sana... Kwahiyo unaona haki pekee nikushinda kesi kwa asiyestahili kushinda?. Ujuaji wakipuuzi hebu tuelezee huyu fei ni bora kuliko mane mwenye management iliyokamilika, hujui Kama mane ameomba maboresho ya mkataba/maslahi zaidi ya mwaka na liver hawakumpa!!, Uliona anataka kuvunja mkataba kijinga hivyo?,uliona anagomea timu?. Unajua sakata ka Theo na Asernal?. Jifunzeni kuheshimu taratibu sio kukomaza mishipa ya miqundu alooh!!.