Mara ya mwisho kuangalia list ya vitu haramu nilikuta kuna cocaine, heroin, lean, codeine nk.Hii ni haramu.
Hii kitu usijidanganye ngoma ipo sana.Kuna malaya wanauza K wanaamini zana ni miyeyusho tu swala la kutumia zana ni maamuzi ya mteja tu na kila wakipima hawana HIV wala nini
Kama rejea gani ambazo zinatambua kitimoto kama haramu?Inategemea na rejea za orodha yako.
Naunga mkono hoja-Wanao beza na kukosoa miilo yetu-Wakome kufanywa hivyo. Food is part of our culture. Ni utambulisho wetu kama nchi.Muungano OYEEE!!
Wakuu!
Kumekuwa na wimbi la wanaoitwa wataalamu wa afya na lishe kukosoa karibia kila aina za vyakula tunavyotumia kila siku.
Utasikia ugali ni chakula hatari sana kwa afya zetu. Wengine wanaenda mbali zaidi na kusema ugali ni chakula cha mifugo!
Profesa Janabi naye hayupo nyuma, kila kitu anapondea tu.
Lakini sasa hawasemi tunapaswa kula nini kwa matumizi ya kila siku.
Hebu tusaidieni ili na sisi tujiepushe na vyakula vya mifugo na kuboresha afya zetu.
Wasalaam....!!