Mnaochimbiwa visima Dodoma mnapigwa sana. Ni ngumu sana visima vyenu kudumu miaka zaidi ya mitano!

Mnaochimbiwa visima Dodoma mnapigwa sana. Ni ngumu sana visima vyenu kudumu miaka zaidi ya mitano!

Naunga mkono hoja...leo jirani yangu analalamika maji hamna...na amechimba kwa milioni 9 na ushee imajiniii miaka 2 tuu nyuma hapo..leo kisima hakina maji😊😊😊😊
 
Ahsante Mkuu nyuzi kama hizi ndio hasa zilizowavutia watu JF. Lakini siku hizi ni watoto wao ni habari za Braz K, Mdudu, Kinyambi na Pornstar tu ambao wanawageuza mitaji yao ya kiuchumi. Hawataki taarifa za maarifa.
Sio kweli. Mada nzuri Jamii Forums bado zipo nyingi tu, wewe ndio umepunguza kufuatilia
Mada chafu zipo, ila kamwe hazijazuia mada zenye madini (kama hii) kupata wachangiaji
 
Mzee wangu umetoa elimu kubwa saaana kiasi kwamba naingiwa woga hata swala la uchimbaji wa kisima! Lkn tutakomaanao kikubwa matumizi sahihi ya code!
 
Mzee wangu umetoa elimu kubwa saaana kiasi kwamba naingiwa woga hata swala la uchimbaji wa kisima! Lkn tutakomaanao kikubwa matumizi sahihi ya code!
Ni kudeal na makampuni yanayojielewa tu mkuu. Yaani hawa madalali hawana ata kifaa wala mashine, ila wanataka kazi, wakifeli kupata maji ata hasara hamuwezi kugawana.

Machine za survey zinakodiwa kuanzia 50k hadi 200k kwa siku. Kwahiyo kila mtu ata mimi naweza jifanya nna mashine na kuja kufanya survey.

Muhindi anakodisha mashine za kuchima, hadi 35k kwa mita, so ukinipa deal nakodi nakuja kuchimba.

Kwahiyo atleast jihakikishe kampuni linamiliki vifaa sio hawa madogo wenye kujua jua mtaani wanawaibia sana.

Makampuni ya serikali kama DDCA wanachimba ata kwa private ila bei inaweza kua mara mbili ya makampuni binafsi.
 
Shukrani kaka.nakumbuka shauri zako za Miaka ya nyuma kuhusu kuizingatia fursa inayoitwa elimu..nimechoka kujitambulisha as fundi mchundo kaka
Kiume kaka ukitusua ww tumetusua wote. Pamoja sana.
 
Back
Top Bottom