Mnaochukulia thread zangu serious sana poleni sana

Mnaochukulia thread zangu serious sana poleni sana

Applicant

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
1,962
Reaction score
1,751
Kiukweli nawapa pole

Nasoma michango yenu huku natafuna karanga mbichi huku nashushia na juisi ya azam mango (zile za elfu tatu) Nimepokea mashambulizi yenu kwa mikono miwili.


Corona inaua, tunaweni mikono.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
  1. Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
  2. Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
 
POMPEO wewe kiboko NIMEKUELEWA SASA
mimi post zako siwezi zisahau ni ile
  1. Chenji uliyorudishiwa na Bint kibopa kwenye duka lako la Hard ware
  2. Bar maid kule Changombe maduka mawili usiku wa manane kukutoroka
  3. kula kilagi huko Comoro na maaskari bila kinga ya COVID 19 kukamatwa
  4. Mnaochukulia thread zangu serious sana poleni sana
 
Back
Top Bottom