GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,685 Reaction score 128,178 Nov 18, 2019 #1 Bodi ya Mikopo nchini Kenya imesema itachapisha majina na picha za watu 85,000 wanaodaiwa Sh50 bilioni za nchi hiyo tangu mwaka 1975. Chanzo: MWANANCHI
Bodi ya Mikopo nchini Kenya imesema itachapisha majina na picha za watu 85,000 wanaodaiwa Sh50 bilioni za nchi hiyo tangu mwaka 1975. Chanzo: MWANANCHI
R rmjusi Senior Member Joined Jan 8, 2019 Posts 157 Reaction score 167 Nov 18, 2019 #2 dah! kumbe na Kenya nako wanapenda dezo