Ndugu poleni na majukumu naona fursa kwa upande wa mazao au nafaka pia hata matunda.
Nahitaji kuingia huku kwenye hii biashara ila nahitaji mwongozo zaidi.
Nilikuwa naomba kwa anae fanya hii biashara anipe mwongozo.
Naomba uwe unafanya hiyo biashara kwa sasa ili kupata uhalisia kamili wa menendo.
Kujua ni mazao gani yanatoka kwa sasa
ununuzi na uuzwaji wake ukoje.
changamoto zake pia zikoje.
Naombeni msaada wenu wakuu