Wafanyabisahara huwa ni wachoyo kutoa taarifa ambazo zitamnufaisha mwingine.Ila kama na yeye atanufaika basi atakupa hadi za uvunguni.Ukiona unapewa taarifa za kukupa faida na mfanyabiashara ujue yeye naye atafaidika.vinginevyo ni rahisi kukuingiza chakandugu poleni na majukum naona fulsa kwa upande wa mazao au nafaka pia hata matunda.
nahitaji kuongia huku kwenye hii biashara ila nahitaji mwongozo zaidi.
nilikuwa omba kwa anae fanya hii biashara anipe mwongozo.
naomba uwe unafanya hiyo biashara kwa sasa ili kupata uhalisia kamili wa menendo.
kujua ni mazao gani yanatoka kwa sasa
ununuzi na uuzwaji wake ukoje.
changamoto zake pia zikoje.
naombeni msaada wenu wakuu
ni kweli mkuu maisha ni changamoto.Wafanyabisahara huwa ni wachoyo kutoa taarifa ambazo zitamnufaisha mwingine.Ila kama na yeye atanufaika basi atakupa hadi za uvunguni.Ukiona unapewa taarifa za kukupa faida na mfanyabiashara ujue yeye naye atafaidika.vinginevyo ni rahisi kukuingiza chaka
wanakuja kakaNdugu poleni na majukumu naona fursa kwa upande wa mazao au nafaka pia hata matunda.
Nahitaji kuingia huku kwenye hii biashara ila nahitaji mwongozo zaidi.
Nilikuwa naomba kwa anae fanya hii biashara anipe mwongozo.
Naomba uwe unafanya hiyo biashara kwa sasa ili kupata uhalisia kamili wa menendo.
Kujua ni mazao gani yanatoka kwa sasa
ununuzi na uuzwaji wake ukoje.
changamoto zake pia zikoje.
Naombeni msaada wenu wakuu
sawa ndugu shukranwanakuja kaka