Mnaofuga paka

Mnaofuga paka

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Mnaofuga paka.
1737473106755.jpg

Mtagundua paka usipompa attention, ndio atakuja miguuni mwako, kutaka kucheza na wewe.

Ila ukianza kumpa attention, kutaka kumfata fata, mara nyingi ataanza kukukimbia..

Wanaume bila shaka mnajua pakuifanyia kazi hiyo ni wapi.
 
Mnaofuga paka.
View attachment 3209078
Mtagundua paka usipompa attention, ndio atakuja miguuni mwako, kutaka kucheza na wewe.

Ila ukianza kumpa attention, kutaka kumfata fata, mara nyingi ataanza kukukimbia..

Wanaume bila shaka mnajua pakuifanyia kazi hiyo ni wapi.
ni vizuri kuishi nao kwa akili sana hao paka my friends, ladies and gentlemen 🐒
 
Back
Top Bottom