Mnaofuga paka

Mnaofuga paka

Mnaofuga paka.
View attachment 3209078
Mtagundua paka usipompa attention, ndio atakuja miguuni mwako, kutaka kucheza na wewe.

Ila ukianza kumpa attention, kutaka kumfata fata, mara nyingi ataanza kukukimbia..

Wanaume bila shaka mnajua pakuifanyia kazi hiyo ni wapi.
Nyau anatumiwa sana na Wana USALAMA!
Anapo Toka anamfungia Ndani!; Akirudi Akimkuta nyau yupoo Nje Anaijua Kuna Mtu aliingia Ndani mwake kupekua pekua!
Sababu ukifungua mlango tu nyau ni WA kwanza kutoka kwenda kunya...
 
Mnaofuga paka.
View attachment 3209078
Mtagundua paka usipompa attention, ndio atakuja miguuni mwako, kutaka kucheza na wewe.

Ila ukianza kumpa attention, kutaka kumfata fata, mara nyingi ataanza kukukimbia..

Wanaume bila shaka mnajua pakuifanyia kazi hiyo ni wapi.
Paka na Wanawake wanafanana sana tabia, kila mmoja ni attention seeker anayeta kuwa petted, ndiyo mana hawapatani.
 
Back
Top Bottom