Mnaofuga paka

Mnaofuga paka

Wale paka wa baa huwa wanajua watu wachoyo na watu wasiowapenda,kuna watu wakiwa wanakula utaona paka wanawazunguka wanajua lazima huyo mteja awape chakula,ila wachoyo na wanaowapa vipigo hawana muda wa kuwasogelea.Halafu wanawekeana mipaka kila paka ana sehemu yake ya kukaa,akiruka kwa mwenzake ni vita.
 
Wanasema ukimuuzi paka akaudhika ataenda kuua joka na kuja kukuwekea kifuani ukiwa umelala, atakuletea mzoga ndani ya nyumba na kuuweka sehemu usiyoona uvunde unuke nyumba inuke uozo wa mzoga
Ndo mana paka Akai na msela,🤣🤣😂😂
 
kama kuna ukweli hivi maana mabibi wengi wenye paka , age zao siyo mchezo
 
Back
Top Bottom