Je, kuna CCTV camera ambazo ukizifunga zinaweza kukupigia alarm wakati ambao wewe ungetaka ifanye hivyo? Mfano usiku, ninalala saa 5, kwa hiyo kuna option ya kuset kwamba kuanzia hiyo saa 5 usiku ninapolala hadi saa 11 alfajiri, akitokea mtu au kiumbe kikapita nje ya nyumba yangu au kusogea mlangoni mwangu niwe na uwezo wa kupigiwa alarm kwenye simu yangu, au kwenye monitor ambayo ntaiweka chumbani kwangu?
Nauliza hili swali kwanza kwa sababu nataka niweke CCTV, lakini pia kama CCTV lengo lake ni kuja kuonyesha nini kimetokea wakati tukio limeshapita basi ufanisi wake ni reactive badala ya proactive.
Nauliza hili swali kwanza kwa sababu nataka niweke CCTV, lakini pia kama CCTV lengo lake ni kuja kuonyesha nini kimetokea wakati tukio limeshapita basi ufanisi wake ni reactive badala ya proactive.