Reactive: Tukio limeshapita sasa unaanza kufuatilia au kufanya namna ya kutafuta suluhu.Reactive na proactive ni nini hivi ndugu yangu ?
Nipo kujifunza ,ahsante sana nimeelewa sana wacha tusuburi wajuvi waje ila mbwa ni wamba sana waleReactive: Tukio limeshapita sasa unaanza kufuatilia au kufanya namna ya kutafuta suluhu.
proactive: Kuzuia tukio lisitokee au kuzuia uharibifu usiwe mkubwa. Mfano, ukipigiwa alarm unaamka haraka, unaangalia kinachoendelea, unachukua tahadhari muhimu kama kuwapigia majirani au vyombo vya ulinzi. Yaani mhalifu anadhibitiwa kabla hajasababisha madhara makubwa. Kama hiyo option haipo basi kuwa na CCTV bora mwenye mbwa
kwa kuongeza kidogo hapa, unaweza kuset "parameter" kwamba mtu peke yake (mbwa na paka alarm hailii) akikatiza eneo hilo mida fulani itoe alarm...na unapata taarifa (notification) kwenye simu yakoNdio hiyo system ipo,CCTV Camera System na IP Cameras zinafanya hivyo unavyotaka,zinakutumia Instant Alert Notification (Push notification) kwenye simu yako,zinapo detect motion,
Kuna Apps za Camera provider's kama vile Reolink na Hik-connect
Kwenye setting unaweka Enable motion detection,Allow notification.
Mkuu Ni nyege za uzeeni.Reactive na proactive ni nini hivi ndugu yangu ?
siku hizi zipo camera nzuri tu za bei rahisi, inategemea na idadi ya camera unazotaka kufunga ukiwa na internet nyumbani/ofisini tayari inakuwa rahisi zaidi....kwa 500k tu unaweza kupata mfumo wa camera 4 za IP ila kama wewe ni mnazi wa brand kubwa kama Dahua au Hikvision za IP ni parefu kidogoNa huo mfumo wote ghalama zake pia msisahau kutupa
Zipo nyingi tu. Hata mchana kama uko mabli na nyumba yako na mtu akiingia unapata meseji na alarm kwenye simu yakoJe, kuna CCTV camera ambazo ukizifunga zinaweza kukupigia alarm wakati ambao wewe ungetaka ifanye hivyo? Mfano usiku, ninalala saa 5, kwa hiyo kuna option ya kuset kwamba kuanzia hiyo saa 5 usiku ninapolala hadi saa 11 alfajiri, akitokea mtu au kiumbe kikapita nje ya nyumba yangu au kusogea mlangoni mwangu niwe na uwezo wa kupigiwa alarm kwenye simu yangu, au kwenye monitor ambayo ntaiweka chumbani kwangu?
Nauliza hili swali kwanza kwa sababu nataka niweke CCTV, lakini pia kama CCTV lengo lake ni kuja kuonyesha nini kimetokea wakati tukio limeshapita basi ufanisi wake ni reactive badala ya proactive.
Kwann asiongeze motion sensor za kupiga kingolaReactive: Tukio limeshapita sasa unaanza kufuatilia au kufanya namna ya kutafuta suluhu.
proactive: Kuzuia tukio lisitokee au kuzuia uharibifu usiwe mkubwa. Mfano, ukipigiwa alarm unaamka haraka, unaangalia kinachoendelea, unachukua tahadhari muhimu kama kuwapigia majirani au vyombo vya ulinzi. Yaani mhalifu anadhibitiwa kabla hajasababisha madhara makubwa. Kama hiyo option haipo basi kuwa na CCTV bora mwenye mbwa