Ubuntu trusty tahr
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 326
- 227
Tutajie web unazofahamu zinazoweza kidhi kiu ya mtoa madaSioni kama mada muhimu: ungeeuliza aina gani ya website au app tukusaidie jinsi utakavyojipatia pesa, lakini hiyo fedha hairudi au kupatikana mara moja unapoianzisha kwani website ni njia ya marketing
Yeye aseme hitajio lake, website zipo nyingi na kila moja ina namna ya kuingiza pesa facebook uingizaji pesa ni tofauti na paypal na zote ni tofauti na alibaba au jumia hivyo aseme ili asaidiwe na kushauriwaTutajie web unazofahamu zinazoweza kidhi kiu ya mtoa mada
Kama mchangiaji alivyosema upo general sana, ila mi nitashare kwa experience niliyonayo.
Zipo njia nyingi zinazozalisha kipato kwenye tovuti.
1. Monetization
-tovuti inatengeneza pesa kupitia ads network kama adsense, propeller, revenuehit etc.
-affiliate marketing programs.
Tovuti inaingiza pesa pindi mtu akinunua bidhaa kupitia link uliyoweka kwenye post yako.
Affiliate programs kubwa ni kama amazon, click bank na alibaba hizo ni baadhi.
2. Kuuza bidhaa au huduma kwenye tovuti yako.
Bidhaa inaweza ikawa digital products eg e-books, course, apps, softwares, templates etc
Au physical products, Tafuta uzi https://www.jamiiforums.com/threads...nzisha-tz-na-uka-dominate-soko.1581329/page-8 kuna ideas nyingi tu.
3. Donation - tovuti huingiza kipato kwa njia za michango, mfano jf kuna platnumz member ambao hupata hiko cheo kwa kuchangia.
4. Kutengenezea watu webs au apps
5. kuuza website kwenye mtandao wa flipper.
Nk.
Tukija kwenye apps.
1. Ads
2. Subscription fees - wateja wanalipa kiasi cha pesa kila mwezi.
3. In app purchase - unaongeza advance feature ambazo zitamfanya mtu alipie ili apate access na hizo feature.
Kwa mfano una apps inayoelezea hadithi za kiswahili, then ukaongeza feature ya kuibadilisha post ya hadithi kuwa pdf ili mtumiaji aweze kusoma akiwa hata offline sasa kuunlock hiyo feature itamlizimu alipie.
Kikubwa unatakiwa ufanye tafiti maana ushindani ni mkubwa, baadhi niches hazina faida, kulenga audience ambayo ina purchasing power kubwa.
Halafu unajua nini, kufeli ni nje nje tu kama hutpweka muda stahiki mpaka hiyo product yako ianze kutengeneza faida, na pia kama lengo lako KUBWA NI PESA kwenye hatua za mwanzo.

videos au text(blog)?Yangu ni ya tutorial za php na bootstrap but i don't know nitamske vip money kupitia iyo tovuti
videos au text(blog)?
Na hiyo tovuti unayo au una wazo?
Kwa vyovyote vile, kama tovuti haina watembeleaji wengi njia nzuri ya kukuingizia kipato ni kutumia affliate program.
Nitakuonyesha kwa niche uliyochagua affliate program inayoweza kukuingizia $65.
Kufundisha watu bootstrap(responsive design) na php(server side programming) kunahusiana moja kwa moja na web hosting services.
Tutorials zako zitamuwezesha anayesoma kutengeneza tovuti. Hivyo mtu atahitaji sehemu ya ku-host tovuti.
Hapo ndipo utakapotoa recommendation zako za kampuni nzuri ya webhosting kwa kuweka affiliated links
Webhosting company yenye kamisheni $65 kwa kila atakayenunua host kupitia tovuti yako ni bluehost
Hii ni nzuri pia hata kwa video.
Njia nyingine ni kuuza video courses udemy na hiyo tovuti ukawa unatumia kama sehemu ya kufanya promo.
mrejeshoNinayo tayari soon nitakutumia link...