THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
- Thread starter
-
- #21
Hii ni Yanga ya Hersi ondoa hofuUlaya sawa na siyo Tanzania.
Yaani unalinganisha mauzauza na mahesabu?
Africa wakipewa wachezaji offer viongozi wanagombania kwanza wao kwa wao kabla ya kwenda kugombana na wachezaji tena kwa ajili ya hiyo offer,lkn kwa wenye hesabu zao hivyo vitu havipo.
Yatanitukana sanaUmenena vyema mkuu
Sisi watu wa mpira tunalielewa hilo vzuri sana…. ttzo ni hawa mashabiki maandazi alimradi mtu aropoke huku hana ajualo [emoji23]
Ndio hivo mkuu na ndio ukweli hukuniamini?Hata mimi nilihisi hivyo, nikabidi niingie chimbo kucheck record baada ya jamaa kuleta huu uzi. Aisee nimeshangaa kukuta wameishia hatua ya 16 bora tu
Binafsi nimejiwekea utaratibu wa kujiridhisha juu ya tarifa inayotolewaNdio hivo mkuu na ndio ukweli hukuniamini?
Vizuri mkuu..Mawazo ya Mtu Muelewa kabisa✊Maneno ambayo yamekuwa yakizungumzwa ni ya kishabiki na utani tu, wala usiyachukulie serious. Upo uwezekano wa Yanga kutwa taji la CAF kabla ya Simba kwasababu ubora wa timu hizi mbili haupishani sana, na kimsingi Yanga kwa sasa wapo juu kidogo. Ukiangalia sajili wanazofanya Simba hivi karibuni ni kama wameridhika na robo fainali ambayo wamekuwa wakiishia. Kwa upande wao Yanga sajili zao zinaonesha kuna kitu wanatafuta.
Acha kufananisha wacheza mpira na wapiga mpira.Hii akili yako angekua nayo ndege angekua ana paaa kwa kwenda Nyuma
Ungeanza wewe.muda mwengine ukinyamaza hutoonekana mjinga
Kula ule ulale mkuuAcha kufananisha wacheza mpira na wapiga mpira.
Wale ni Highly trained personnel huku Itigi yamejaa makwasukwasu.