Mnaoiponda na Kuibeza Yanga Juu ya Mashindano ya CAF Someni hapa kuhusu Napoli ya Msimu Huu na Mjifunze.

Ulaya sawa na siyo Tanzania.
Yaani unalinganisha mauzauza na mahesabu?
Africa wakipewa wachezaji offer viongozi wanagombania kwanza wao kwa wao kabla ya kwenda kugombana na wachezaji tena kwa ajili ya hiyo offer,lkn kwa wenye hesabu zao hivyo vitu havipo.
Hii ni Yanga ya Hersi ondoa hofu
 
Hata mimi nilihisi hivyo, nikabidi niingie chimbo kucheck record baada ya jamaa kuleta huu uzi. Aisee nimeshangaa kukuta wameishia hatua ya 16 bora tu
Ndio hivo mkuu na ndio ukweli hukuniamini?
 
Maneno ambayo yamekuwa yakizungumzwa ni ya kishabiki na utani tu, wala usiyachukulie serious. Upo uwezekano wa Yanga kutwa taji la CAF kabla ya Simba kwasababu ubora wa timu hizi mbili haupishani sana, na kimsingi Yanga kwa sasa wapo juu kidogo. Ukiangalia sajili wanazofanya Simba hivi karibuni ni kama wameridhika na robo fainali ambayo wamekuwa wakiishia. Kwa upande wao Yanga sajili zao zinaonesha kuna kitu wanatafuta.
 
Vizuri mkuu..Mawazo ya Mtu Muelewa kabisa✊
 
Back
Top Bottom