Mnaoishi katika Maghorofa marefu hasa ya Upanga tafadhali mkiwa mnaanza 'Kunaniliana' muwe mnafunga kwa muda Madirisha yenu ili msitupandishe Midadi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wengine tumeumbwa na Midadi hasa tukiona Minaniliano madirishani huwa tunatamani hata tuje kuomba Kolabo, ila huwa tunashindwa tu.

Halafu ukijiona upo juu Ghorofani usidhani uko peke yako na huonekani kwani kuna Wengine (hasa GENTAMYCINE ) tuna Macho ambayo yakiona tu Kitu cha mbali basi automatically huwa kinakuwa Zoomed na Kukiona Kinachoendelea kwa Uhalisia wake.

Wapangaji wa Appartments za UVCCM ( mnazidai ni za Mgonjwa Mtetemekaji aliye Wodini Afrika Kusini ) za Upanga, zile za nyuma ya FIRE na za Mnazi Mmoja bila kusahau na nyinginezo tafadhali naomba huu Uzi wangu muuzingatie kwani sina mpango kabisa wa kutafuta Goma kwa Usiku huu ila kwa nilichokiona Ghorofani mahala fulani Upanga GENTAMYCINE nami nimelazimika wa kumtafuta ( Goma ) ili nami Niigilizie kwa Vitendo kwa nilichokiona juu Ghorofani.

Sijui na Mimi wangu atang'ata Mto?
 
Tumempoteza kijana wetu mkulima namba moja Joshua. Tuacheni tuomboleze jamani.

LIKUD kuja huku utusaidie
 
Ya south ulivoipresent🤔🤔 anyway sisi wote ni binadamu hata kama tunatofautiana mitazamo lkn tutumie lugha nzuri kuwasemea walio ktk majaribu ya kimaisha
 
Back
Top Bottom