Ni jambo jema kama anafanya hayi, muwe mnatujuza basi jamaniBishop Gwajima yupo ng'ambo anauza vitabu vyake vya Kiroho ktk lugha ya Kijapani pia kuhubiri na vilevile kutafuta namna ya kushirikiana na Ujerumani na World Bank kuanzisha mtambo mkubwa /viwanda vya kuzalisha umeme wa solar, gesi na upepo (wind turbine) Tanzania na mbolea. Kwa habari zaidi tembelea akaunti ya habari zake Youtube :
Source: Bishop Josephat Gwajima RudishaTV
Habari wanajamvi.
Mchungaji Gwajima alikuwa ana make headlines katika vyombo vya habari hapa nchi kama miezi kadhaa hivi huko nyuma. Cha kushangaza sasa hivi amepotea. Je amesafiri au anamatatizo ya kiafya? Miliopo huku mjini ambao wengi mliacha makanisa yenu makaenda kwa Gwajima na baadhi wa walibadili dini kwa muda na kuamia kwa Gwajima, mtusaidie kujua huyu kiongozi wetu mpendwa kimemsibu nini? Hatupati neno la Bwana siku hizi katka vyombo vya habari na sisi tupo mikoani hatuna uwezo wa kuhudhuria kanisani kwake. Na nyie waumini wake inakuwaje mnamtenga tena mchungaji wetu, endeleeni kwenda tu kanisani na mturushie mahubiri ya kila jumapili.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Umemfokea sanaWewe ni ke au me?
Mana umeandika kidwanzi sana, umesema huko mkoani huwezi kwenda kanisani kujua kama yuko au la lakini umeweza kujua kuwa waumini hawaendi je hilo umelijuaje?
Cc emu kamwe haimuachi ........
Jitathimini hapo mwanzo na sasa uwezo wako wa kufikiri
Mi ni mwanaume, vipi bado hujaolewa?Wewe ni ke au me?
Mana umeandika kidwanzi sana, umesema huko mkoani huwezi kwenda kanisani kujua kama yuko au la lakini umeweza kujua kuwa waumini hawaendi je hilo umelijuaje?
Cc emu kamwe haimuachi ........
Jitathimini hapo mwanzo na sasa uwezo wako wa kufikiri
Acha uongo wewe! Gwajima yuko Japan anatoa huduma ya kiroho huko na shughuli zinaonyeshwa online mitandaoni.Kapigwa ' Pini ' moja Kali sana na ya ' Kimafia '.
Bashite hajawahi kuwa na neno na hajawahi kuhubiriwa usimpe sifa asizostahili.Swali kwako je wajua maana ya neno kuhubiri???Kwa hiyo yeye ni mchungaji anahubiri neno la mungu au anahubiri neno la Bashite?