Mnaoishi mjini, hivi Gwajima yupo?

Mnaoishi mjini, hivi Gwajima yupo?

Bishop Gwajima yupo ng'ambo anauza vitabu vyake vya Kiroho ktk lugha ya Kijapani pia kuhubiri na vilevile kutafuta namna ya kushirikiana na Ujerumani na World Bank kuanzisha mtambo mkubwa /viwanda vya kuzalisha umeme wa solar, gesi na upepo (wind turbine) Tanzania na mbolea. Kwa habari zaidi tembelea akaunti ya habari zake Youtube :

Source: Bishop Josephat Gwajima RudishaTV

Ni jambo jema kama anafanya hayi, muwe mnatujuza basi jamani
 
Gwajima kwa Kisukuma maana yake ni "umezima".

Labda moto wake uliokuwa unawaka umezima.
 
Habari wanajamvi.
Mchungaji Gwajima alikuwa ana make headlines katika vyombo vya habari hapa nchi kama miezi kadhaa hivi huko nyuma. Cha kushangaza sasa hivi amepotea. Je amesafiri au anamatatizo ya kiafya? Miliopo huku mjini ambao wengi mliacha makanisa yenu makaenda kwa Gwajima na baadhi wa walibadili dini kwa muda na kuamia kwa Gwajima, mtusaidie kujua huyu kiongozi wetu mpendwa kimemsibu nini? Hatupati neno la Bwana siku hizi katka vyombo vya habari na sisi tupo mikoani hatuna uwezo wa kuhudhuria kanisani kwake. Na nyie waumini wake inakuwaje mnamtenga tena mchungaji wetu, endeleeni kwenda tu kanisani na mturushie mahubiri ya kila jumapili.

Wewe ni ke au me?
Mana umeandika kidwanzi sana, umesema huko mkoani huwezi kwenda kanisani kujua kama yuko au la lakini umeweza kujua kuwa waumini hawaendi je hilo umelijuaje?
Cc emu kamwe haimuachi ........
Jitathimini hapo mwanzo na sasa uwezo wako wa kufikiri
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Umemfokea sana
 
Wewe ni ke au me?
Mana umeandika kidwanzi sana, umesema huko mkoani huwezi kwenda kanisani kujua kama yuko au la lakini umeweza kujua kuwa waumini hawaendi je hilo umelijuaje?
Cc emu kamwe haimuachi ........
Jitathimini hapo mwanzo na sasa uwezo wako wa kufikiri
Mi ni mwanaume, vipi bado hujaolewa?
 
Watumishi wa Dini mnawadhihaki ili mpate faida ipi??? , , Kama Mtanzania ulipaswa kunadili mambo yasingi yanayo lisibu taifa letu na sio umbea!
 
Kapigwa ' Pini ' moja Kali sana na ya ' Kimafia '.
Acha uongo wewe! Gwajima yuko Japan anatoa huduma ya kiroho huko na shughuli zinaonyeshwa online mitandaoni.
Kwa taarifa yako akitoa mhadhara wa SAA moja mpaka mawili analipwa kati ya dola laki moja mpaka mbili, halafu akiwa na Pesa mnamsingizia madawa.
 
Bishop Yupo Makini Ametuliza Dude Siyo Wa Kushindwa Jambo
 
Angalia Instagram yake utamuona anavyo fanya healing Japan hutaamini macho yako
 
Watumishi wa Dini mnawadhihaki ili mpate faida ipi??? , , Kama Mtanzania ulipaswa kunadili mambo yasingi yanayo lisibu taifa letu na sio umbea!
Sasa kumuulizia mchungaji wangu ni kosa. Mi namjali ndio maana namuulizia.
 
Kama Bashite amekaa kimya kwanini Gwajima aongee??Mwambieni amchokoze
 
Jamani baba askofu hajawahi kuwasamehe walioenda kinyume nae.Nawakumbuka aliowahi kiwavaa kama vile Pengo,Slaa na Makonda

Hahaaa ila almasi ilijisalimisha pale ilipotaka kugeuzwa kuwa maji
 
Kwa hiyo yeye ni mchungaji anahubiri neno la mungu au anahubiri neno la Bashite?
Bashite hajawahi kuwa na neno na hajawahi kuhubiriwa usimpe sifa asizostahili.Swali kwako je wajua maana ya neno kuhubiri???
 
Back
Top Bottom