Mnaoishi store njooni

Sifikiriii kujenga nyumba na Nina mpango wa kuishi kwenye Apartment za kupanga maisha yangu yote
 
store kama store,,,hiiiiii maweee[emoji47][emoji31][emoji31][emoji26]
 
Matajiri wengi waliishi store pia.

Nakumbuka Reginald Mengi alisema alikuwa analala nyumba moja na Ng'ombe na mbuzi hukuhuko ndani, ng' ombe akipumua na yeye anavuta hivyo pumzi.

Ni sehemu ya maisha tu...n it might not last.
 
Hicho ni chumba kama ni kimoja, hiyo ni store tu.
 
Kwani mtu akikwambia unaishi stoo unapungukiwa nini? Wewe ishi tu maisha yako kila mtu na mwendo wake
Hahahah, sijasema kwamba mimi naishi store, ila nimeuliza tu 😂😂😂, maana zamani wakati nipo chuo nilikuwa na hicho kighetto, ila kuna kitu nimeona mahali nikakukmbuka enzi zangu , 😂😂😂
 
Kwani mtu akikwambia unaishi stoo unapungukiwa nini? Wewe ishi tu maisha yako kila mtu na mwendo wake
mkuu naona unamfariji mwenzako. Chumba kimoja uish na piki pik mkaa mahindi panya mende haish store anaish godauni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…