Mnaojadili Ally Salim kucheza faulo wakati wa kucheza penati mmeishiwa hoja na sio watu wa mpira

Mnaojadili Ally Salim kucheza faulo wakati wa kucheza penati mmeishiwa hoja na sio watu wa mpira

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Hoja kuwa Ally Salim alicheza faulo wakati wa kudaka mishale ya penati nimesikiliza kwa makini na kubaini wanaojadili hoja hizo ingawa watu wanawaita watu wa mpira, mm nimewapuuza na kuwapachika jina la wehu.

Ukijua penati umejua tu, jana wachezaji wote wa yanga walielekeza penati upande wa kulia wa Ally Salim, huo upande wa kulia wa Ally ndio ule aliopelekewa moto mabao yote ya penati na Wydad CASABLANCA, jamaa wa utopolo nao wakawa wanapeleka kule kule.

Ukweli usemwe kuwa wachezaji wa yanga walidanganywa kuhusu upigaji wa penati na ndio maana wote walipeleka upande mmoja tofauti na Simba ambao kuna waliopeleka kulia na kuna waliopeleka kushoto.Yanga zote walipeleka kulia.

Jiulizeni kwann wachezaji wote wa yanga walipeleka penati kulia? Hv aucho alipokosa penati kwann Pacome na mbilikimo walipeleka kule kule, yaan Ally kacheza penati 3 mfululizo upande mmoja hamjiulizi tu, kama sio kutumwa na mganga ni nini.

Pili ukijua kupiga penati hata utoke kwenye mstari watu wanakuokotesha t, Jean Baleke alithibitisha hilo baada ya Diarra kutaka kugusa mpira kabla Baleke hajapiga, Baleke akampiga Diarra aushike atakavo lakn akae akijua lazima akauokote kunyavu, na kweli, Diarra aliushika mpira na bado akafungwa.

Mwamuzi wa mchezo ni mtu aliesomea mpira tofauti na nyie wachambuzi wajinga wajinga nyie, kila kitu mnajua nyie, siasa mko, uchumi mko, mazingira mko, mapenzi mko, wengine wakiusemea mpira mnawataka waachane nao mkidai sio watu wa mpira, nyie akina nani hadi mjione mnajua kila kitu wakati shule zenu mbovu tu.

Mpeni sifa Ally Salim, kama Diarra altona Ally salim anavuka mstari kwann na yeye asivuke.Pumbavu nyie
 
Azam walikosea sana kumuacha kocha wa makipa, Ally Salim amebadilika sana, ni huyu huyu aliwatia unyonge Simba kwenye robo final ya mabingwa kule Morocco, Leo kageuka shujaa kuanzia gemu na Singida had na Yanga, badala ya kumsifia kocha wa makipa mnalalamika eti kacheza faulo.Mxiuuu
sawa
Ni suala la muda tu, kesho na keshokutwa mtakuja kumtukana hapa

upepo ulimtembelea jana, kuna baadhi ya mechi zijazo mtamkimbia mbona
 
Mwanzoni dogo alikuwa hawasiliani na mabeki vizuri. Alikuwa anasubiri wakosee ili apate umahili wa kufanya saves. Sasa anaongea na anajitahidi kupanga backs xake vema.

Kwa sasa angalau. Ila bado.
 
Kuna chambuzi Moja linamsimamia Boko Kila siku linahangaika na wachezaji wengine hata siku Moja halijawahi kuanika madudu ya Boko, juzijuzi alikuwa anahoji kiwango Cha Phiri dhidi ya singida wakati mchezaji wake Boko alikuwepo na hakufanya chochote.
 
Back
Top Bottom