residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Wamekwisha andaliwa na CCM - Wilaya & Mkoa.Udhamini unakuwa umekaaje sasa kwenye hilo..?? Pascal Mayalla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekwisha andaliwa na CCM - Wilaya & Mkoa.Udhamini unakuwa umekaaje sasa kwenye hilo..?? Pascal Mayalla
Wamekwisha andaliwa na CCM - Wilaya & Mkoa.
Kwa mtu kama wewe huwezi kuelewa, ila wenye akili wameshaelewa kaka.Ndiyo Umetuandikia nini hiki?
Ndiyo Umetuandikia nini hiki?
Tena Bora huyu kuliko utopolo wako. Huwa unaandika hovyo kweli
Kwenye muongozo wa jf kuna sehemu ya kushindana kutokana na andiko?Lakini pamoja na Kuandika Kwangu hovyo hivyo ila kila Siku uki Log In tu hapa JF ni lazima tu utazifungua 'Threads' na Kuzisoma. Nawatesa sana!!
Kwenye muongozo wa jf kuna sehemu ya kushindana kutokana na andiko?
Kijana acha ushamba, issue ya "kuwatesa" sijui kina nani, wanafanya vijana wenye mawazo kama yako na ndiyo maana gazeti unalosoma wewe mwingine hawezi kulisoma.