Mnaojifanya mnajua afya ya binadamu.

Mnaojifanya mnajua afya ya binadamu.

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Kwa kawaida madactar ni wafanyakazi ambao wanaheshimiana sana na kama mkuu wako akikosea hutakiwi kumpinga hapo hapo na hata ukimpinga unatakiwa mwishoni ukubali kuwa hujui na utasoma zaidi.
"Chief is always right"
Mnaojifanya mnajua afya ya binadamu njoen hapa niwapige maswali hadi mkimbie
Kama wew ni Daktari au mtoa huduma ya afya njoo hapa nikupe shule fasta.

Ili ujue wew ni empty.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom