Mnaokaa nyumba za kupanga (shared) fahamu hili

Umeondoka mwezi mzima unaacha friji on? Taa inatumikaje wakati mwenyewe haupo?

Kimsingi mimi sizimagi friji labda umeme uwe umekatika.

Taa za nyumba za nje usiku lazima ziwashwe uwe h
Upo au haupo. Na zinatumia umeme.

Kimsingi kwenye nyumba za kupanga uwepo usiwepo unatakiwa kutoa hela ya umeme.

Mwishwowe mtaanza, mimi sikuwepo siku mbili, mwingine sikuta tano, mwingine mwezi,
Au vinginevyo weka Token Submeter yako
 

Hakuna malengo bila motivation. Iwe intrinsic motivation au extrinsic motivation kisha Discipline

Ushindani huchochea malengo kutimia ndio maana kiasili mwanadamu ana wivu. Wivu kazi yake ndio hiyo sasa.

Kwenye kanuni za maendeleo mtu unatakiwa kuficha mambo yako kwa sababu nature inaeleza wazi kuwa mwanadamu ni kiumbe chenye wivu, na wivu ndio huleta ushindani. Kwenye ushindani ndio kuna kufanikiwa na kutowafanikisha wengine.

Ni hayo tuu
 
Unaijua hgharama ya hiyo submeter ya kukuwezesha kujinunulia umeme wako mwenyewe? Hesabu vyumba vilivyopo hapo unapoishi kisha zidisha na hiyo gharama ya kila submeter. Ndipo utaelewa wapangaji na mwenye nyumba wanaishi kwa mahesabu kuliko wewe. Kwahiyo tulia endelea kumshukuru Mungu kwa kukupa hiyo bahati ya kupata nyumba unayoweza kujinunulia umeme wako mwenyewe.
 
Tuambie gharama yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…