chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,711
- 31,331
Nadhani watu wamechoka kuona zege tu pale kwa Mkapa. Tutafute namna ya kuufanya uwanja uonekane tofauti. Wataalamu walio decorate Amahoro Stadium ya Rwanda wapo, nje inakuwa na mfumo wa kupendeza.
Pia VIP viti viwe leather. Tusibadili viti tu.
N. B.
Media house ziombe tour ndani ya uwanja, wasisubiri Msigwa awe anawaita tu. Watu tuone vyumba vya kubadilishia nguo, VIP ikoje, nje, pitch!
Pia VIP viti viwe leather. Tusibadili viti tu.
N. B.
Media house ziombe tour ndani ya uwanja, wasisubiri Msigwa awe anawaita tu. Watu tuone vyumba vya kubadilishia nguo, VIP ikoje, nje, pitch!