Mnaokarabati uwanja wa Benjamin Mkapa, msisahau kuu-pimp kwa kuuwekea urembo/decorations, bustani za nje, viti vya V. i. P viwe leather. Pitch vipi?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Nadhani watu wamechoka kuona zege tu pale kwa Mkapa. Tutafute namna ya kuufanya uwanja uonekane tofauti. Wataalamu walio decorate Amahoro Stadium ya Rwanda wapo, nje inakuwa na mfumo wa kupendeza.

Pia VIP viti viwe leather. Tusibadili viti tu.

N. B.

Media house ziombe tour ndani ya uwanja, wasisubiri Msigwa awe anawaita tu. Watu tuone vyumba vya kubadilishia nguo, VIP ikoje, nje, pitch!
 
Nasapoti mkuu, maana chini ya mama tuko vizurii sasa hivii, hawa wenzetu wamejiunga na timu kubwaa
 

Attachments

  • 1000037923.jpg
    116.3 KB · Views: 39
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…