huna haja ya kuwalaumu watoa huduma ya usafiri kwani Suluhisho haliwezi kuwa kuangalia umri wa mwanafunzi kwa macho; badala yake tushauri tu kuwa;Wakata tiketi kwenye mwendo mnanyayasa sana watoto, nimeshuhudia karibu mara tatu mnagombana na vijana ambao ukimuona kwa umri wake kabisa ni mtoto mnataka alipe nauli ya mtu mzima hivi kisa amevaa nguo za nyumbani si sawa kabisa.
Hivi nyinyi amjui umri wa mtoto? serikali naomba iangalie hili kwa ukaribu kwanini watoto wanasumbuliwa, sio kabisa.
Wanapaswa kulaumiwa Kwa Kila kitu hao watoa huduma.(UDART)huna haja ya kuwalaumu watoa huduma ya usafiri kwani Suluhisho haliwezi kuwa kuangalia umri wa mwanafunzi kwa macho; badala yake tushauri tu kuwa;
Shule zote za Dar wanao tumia mabasi hayo waweke utaratibu wa kuwapatia wanafunzi Vitambulisho rasmi.
Naamini Halmashauri zinaweza kuweka utaratibu mzuri wa kufanikisha hilo hata kama mzazi atachangia kidogo.