Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Nimeshangaaa sana mkuu. Hii Nchi inatakiwa itawaliwe kidikteta kabisa haiwezekan na haivumiliki kujadiri mambo yasiyo kuhusu.Tukiwa Bar mbona sisi hatuongelei mambo yenu?
Nyie ya kwetu yanawahusu nn
Mtu kakiri kabisa sio mtumiaji wa pombe Sasa Uzi wa Nini ama kakodiwa huyu??