Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Nimeshangaaa sana mkuu. Hii Nchi inatakiwa itawaliwe kidikteta kabisa haiwezekan na haivumiliki kujadiri mambo yasiyo kuhusu.Tukiwa Bar mbona sisi hatuongelei mambo yenu?
Nyie ya kwetu yanawahusu nn
Hata Mimi.Nimeshtushwa hili swali kuulizwa na mwanaume
Akikujibu ni quote mkuu. Ndio maana Nchi hiii ni maskani kumbe wanaume wenzetu wanatuangushaWewe sio mnywaji, wewe ni mwanaume, wewe huwa unawasikia wanawake wengi wakilalamika kuhusu waume zao kuchelewa kurudi. Sawa asante ila Kuna viswali kidogo hapa,
1. Hao wanawake unakutana Nao wapi ?
2. Ukikaa na hao rafiki zako kina mama, hakuna kingine cha kuongea ila waume zao kunywa pombe?
3. Kwanini hukai na wanaume wenzako mkaongea ya kiume?
4. Unataka tukwambie kinachojiri huko vilabuni ili ukawalasimulie kina mama rafiki zako sio?
Maswali ya msingi kabisa.Wewe sio mnywaji, wewe ni mwanaume, wewe huwa unawasikia wanawake wengi wakilalamika kuhusu waume zao kuchelewa kurudi. Sawa asante ila Kuna viswali kidogo hapa,
1. Hao wanawake unakutana Nao wapi ?
2. Ukikaa na hao rafiki zako kina mama, hakuna kingine cha kuongea ila waume zao kunywa pombe?
3. Kwanini hukai na wanaume wenzako mkaongea ya kiume?
4. Unataka tukwambie kinachojiri huko vilabuni ili ukawalasimulie kina mama rafiki zako sio?
Kuna vitu vya ajabu sana huku siku hizi..Nimeshtushwa hili swali kuulizwa na mwanaume
KUmbee hongeraWa miaka mingi iliyopita kabla ya kuacha bwax mitulinga gambe mitungi Ina majina mengi mengi mengi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza ukiwa nje usiku muda hukimbia mnoooo.....
Unaweza hisi ni saa5 usiku kumbe ni saa 11 ukishtuka kumekucha unarejea mahome[emoji12]