Mnaolalamika na kubeza Mbowe kwenda kuonana na Rais, Mlitaka afanye nini?

Angekataa wito hao hao wangesema anadharau na hapendi maridhiano, kitendo cha mbowe kwenda amewanyima maneno ya kusema na watesi waliamini hatokwenda''kwa yeye kwenda kuna maridhiano kama tulivyowasikia wote walizungumzia kuhusu haki ili kujenga taifa, kilichoendelea iringa kwa ccm kutaka bendera za chadema zishushwe ni dhahiri walijua mbowe hawezi toka jela na kwenda ikulu kuitika wito wa mazungumzo na rais.
 
Mbowe kafanya jambo kubwa sana,na nakwambia manufaa aliyoleta ni makubwa sana

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu watanzania tu watu wa ajabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…