Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Mnaombeza Prof Ndalichako amesoma PhD University of Alberta Canada
The University of Alberta, kilianzishwa 1908 ni chuo cha 135 duniani kwa ubora.
Prof ana bachelor ya Hesabu (Methamatics) University of Dar Es Salaam from 1987–1991,
1993–1997 alienda University of Alberta, Edmonton, Alberta, Canada, where she obtained a PhD in educational psychology, major in educational statistics & measurement and evaluation.
Kwa hiyo kwa kifupi Prof major yake ni mambo ya hesabu.
Hichi chuo cha Alberta wanaendaga vipanga tu.
ww ndio MsukumaYuko sawa na Dr. Musukuma.
Mimi ndio Mumeo.ww ndio Msukuma
Magufuli kingereza chake hakikuwa perfect ila alikua ana perform well na madhambi yake
Yes kujenga Chato,sio dhambi ile?😎Na madhambi yake??!!😱
Yes kujenga Chato,sio dhambi ile?😎
Kuna kitu aliwapapa.Na alidefend thesis yake mbele ya maprofesa huko Canada na walimuelewa kabisa na English yake ya ze comedy!
Na Kuna Ile Ph.D nyingine ilikua Ni ya maganda ya korosho Aisee RIP Ben Saa8.Wabongo mnachekesha, wengi wenu bado mnakasumba ya kizamani kwamba mtu kujua kiingereza ndio kuelimika, kwenu mtu akizungumza fluent english ndio "kichwa", hamjui wapo watoto kwenye hizo english academy wanaozungumza fluent english bado wanapata div. 3 na 4.
Hamjiulizi swali dogo tu; wazungu wote hufaulu mitihani yao ya kiingereza kwa kupata "A" kwasababu wanakijua kiingereza? au sisi waswahili hufaulu mitihani yetu ya kiswahili kila siku kwa kupata "A" kwasababu kiswahili ndio lugha yetu?
Knowledge haihusiani kabisa na kuijua lugha fulani, muache ushamba.
Mwalimu anakupa maksi kwa kuangalia knowledge yako kwenye kuelewa na kujibu swali, hata kama umeandika broken english; hakupi maksi kwa kuangalia kiingereza kizuri ulichoandika hata kama knowledge yako kwenye kujibu swali ni wrong.
Ndalichako kwangu ni Professa. Tatizo akili ndogo zinaongezeka kila siku za ku graduate kwa kukariri madesa vyuoni.
Nchi hii haijawahi Kuwa na waziri wa Elimu bora na mbunifu zaidi ya marehemu Jackson Makwetta nae hakuwa na Ph.D!!!! What is important therefore is the performance and vision o
Huyuhuyu alipiga makofi watoto waliopata mimba wasirudi shule.. pia. Juzi kapiga makofi samia aliposema watoto haohao warudi shule.Mimi simuhukumu kwa kingereza chake sababu watanzania wengi English yetu majangaaaaaaaaa....lol
Ila, kwa mtu aliyesoma educational Psychology ambae ana cheo kama chake kushindwa kuweka,/ jenga vituo vya watoto wenye special needs na kuweka referral system inayoeleweka kwa watoto hawa,.... CONCLUSION ameshindwa kujisimamia kiti chake na viatu vinampwaya...watu hawajaji posema wattkutokana na kingereza chako bali performance yako , Magufuli kingereza chake hakikuwa perfect ila alikua ana perform well na madhambi yake
Vipi kuhusu maprof wa Kihindi wanavyo ongeaKuna kitu aliwapapa.
Umegundua kuwa maprofesa na ma lekchara hawaangaliagi sura au chura za wanawake wanaowachukua? Nilivyokua chuo nilikua najiuliza, huyu profesa ana pesa, mke, gari zuri mbona wanachukua mijianake isiyo na sura Wala shepu?
Kuishi ikulu kama mpishi si kwamba waweza kuwa rais.Itoshe kueleza kwamba, kiingereza kinamfua ile ngumu.Watanzania wengi kiingereza ni changamoto lakini kwa kiongozi kama yeye tena msomi wa uprofesa ni zaidi ya tatizo.Mnaombeza Prof Ndalichako amesoma PhD University of Alberta Canada
The University of Alberta, kilianzishwa 1908 ni chuo cha 135 duniani kwa ubora.
Prof ana bachelor ya Hesabu (Methamatics) University of Dar Es Salaam from 1987–1991,
1993–1997 alienda University of Alberta, Edmonton, Alberta, Canada, where she obtained a PhD in educational psychology, major in educational statistics & measurement and evaluation.
Kwa hiyo kwa kifupi Prof major yake ni mambo ya hesabu. Hesabu ni lugha kama lugha zingine ila bahati mbaya haitumiki sana katika mazungumzo ya kawaida. Lugha ya hesabu inatumika kwenye mashine, komputya, simu, magari na robots.
Hichi chuo cha Alberta wanaendaga vipanga tu.